Jaji wa Mahakama Kuu achaguliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Afrika

 


Jaji Imani Daud Aboud ambaye ni jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania amechaguliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu baada ya kugombea nafasi hiyo.

Katika Mkutano wa 38 wa Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Nje ya Umoja wa Afrika, Jaji Imani alichaguliwa kuwa jaji kwa muhula wa pili wa miaka 6, ambapo amepata kura 51 kati ya 52


Jaji Imani ataiwakilisha Afrika Mashariki. Aidha Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Emmanuel Buholela ameutaja ushindi wa Jaji Imani kama kielelezo cha uwezo walionao Watanzania.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad