JE, Wajua? Madaktari wa Kale Walipima Kisukari Kwa Kuonja Mkojo wa Mgonjwa

 

Kisukari ni kati ya Magonjwa ya kwanza kutambuliwa na kuwekwa kwenye maandishi ya Misri ikieleza kama tatizo la “Kukojoa sana”. Wataalamu wa Kihindi waliuita ‘Mkojo wa Asali’ kwasababu unawavutia wadudu


Miaka ya 1500KK Matabibu waliweza kugundua kiwango cha Sukari kwa kuangalia ladha na harufu ya mkojo wa Mgonjwa. Mkojo ukiwa mtamu basi wanahitimisha mhusika ana Kisukari


Utaratibu wa kupima Kisukari Maabara ulianzishwa mwaka 1841 na Karl Trommer ambaye alitumia sampuli ya mkojo kwa kuiweka kwenye ‘Acid Hydrolysis’

DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Kisukari huitwa Diabetes Mellitus - #Diabetes likimaanisha kupitisha na #Mellitus likimaanisha Asali/Sukari’. Kutokana na hali hiyo ilikuwa rahisi kwa Wahudumu kuonja Mkojo ili kujua kama mtu ana kisukari


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad