Matokeo mechi mbili za leo; Namungo wamefanikiwa kutafuna kiporo nyumbani ukiwa ni ushindi wa kwanza kwa kocha wao mpya, Hemed Suleiman Morocco, ushindi ukiwa ni wa magoli 2 – 1.
Wakati wanalambalamba Azam FC wakipunguza ‘uteja’ mbele ya Simba leo baada ya dakika 90 kuamuliwa kwa sare ya magoli 2-2.