Mashabiki Walilipa USD 100 Kuweka Picha zao Kwenye Siti Uwanjani Katika Fainali za Super Bowl


Imeripotiwa kuwa baadhi ya mashabiki walilipa kiasi cha ($100) sawa na TSh. 230,000 kwa ajili tu ya picha zao kuwekwa kwenye siti za uwanja wa Raymond James ambapo ilifanyika fainali ya Super Bowl LV usiku wa kuamkia jana.


Kutokana na uwepo wa janga la Corona, uwanja wa Raymond James unaopokea watu 65,890 waliokaa, kwenye mchezo huu ulipokea mashabiki 25,000 pekee na nafasi zilizobaki zilijazwa picha za mashabiki.




Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad