Moshi Mkubwa wa Manjano Uliotokea London Mwaka 1952 na Kuuwa Watu Maelfu


Mwaka 1952 , moshi mkubwa wa manjano ulitanda katika jiji la London kwa siku tano mfululizo na kuua zaidi ya watu 4000.

Moshi huo ulitanda sana kiasi kwamba watu barabarani hawakuweza hata kuona miguu yao wenyewe walipokua wakitembea.

Baadhi ya watu waliokufa hawakupata shida yoyote ya mapafu; walikufa kwa kuanguka na kuzama katika Mto Thames kwakua hawakuweza kuona mto walipokua wanatembea.



Great Smog of London, lethal smog that covered the city of London for five days (December 5–9) in 1952, caused by a combination of industrial pollution and high-pressure weather conditions. This combination of smoke and fog brought the city to a near standstill and resulted in thousands of deaths.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad