Kwa wale wapenzi wa muziki wa zamani bolingo japokuwa mimi sio old skool ila nimetokea tu kuzijua nyimbo nyingi kutokana na nature ya kazi nilizowahi kufanya na ninazofanya
Ninachojiuliza zamani teknolojia kuwa ndogo lakini mbona bolingo hizo nyingi sauti na vyombo vimepangiliwa kwa ufasaha maskioni nini siri kubwa hasa waliyotumia?
Yaani unajikuta tu nyimbo huchoki kuiskiliza Nyimbo kama ya mwanamama tshala muana "Mario" unachokaje kwa mfano? Sound safi ,vyombo vimepangiliwa vizuri .
Utachagua ipi? Bado sana ya kina nyange? Aah wapi?
Hizi ni baadhi ya nyimbo za zamani zitakazokupa usikivu mzuri kwenye maskio yako.
1: Franco - Mario
2; Monique Seka - Okaman
3: Tshala Muana - Mario
4: Madilu System- Yajaa
5; Madilu System -si je sa vais
6: Tabu Ley - Ibeba
7: Mbilia Beli - Nairobi
8: Madilu System - Sansa ya papi
9: Nyimbo zote za Franco
10: Oliver Ngoma - Icole
11: oliver ngoma - Lusa, Alphonsie
12: Kanda Bongoman - Muchana
13: Bozi Boziana - Pitie
Hizo kwangu Mimi wamepatia sana waliorekodi na kupiga vyombo
Walifanya vipi ikiwa maproducer wa sasa wana equipment nzuri na wanatengeza muziki big g?