Rapper Rosa Ree, Nina Nyimbo zaidi ya 30, Nina Kibarua Kikubwa Ipi na Ipi iingie Kwenye Album Yangu


Rapper number moja wa Kike Tanzania Rosa Ree, amesema mpaka sasa tayari amerekodi jumla ya nyimbo 30 Kwa Ajili ya Album yake Anayofikiria kuiachia Hivi karibuni lakini bado hajaridhika, anapata hofu na hajui ngoma zipi ziingie kwenye album yake ya kwanza....Huenda Hivi Karibuni atatangaza siku ya kuachia album hiyo

 DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad