Web

SALLAM-SK achezea POVU zito kutoka kwa STEVE NYERERE baada ya kumuandikia haya

Top Post Ad


SALLAM-SK achezea POVU zito kutoka kwa STEVE NYERERE baada ya kumuandikia haya kwenye Page yake

sallam_sk "Sijaelewa kwenye tamthilia hii umecheza kama mwehu au chizi?"

Steve Akamjibu "@sallam_sk Mimi sio mnyonge unanijua mimi ukileta mdomo nakuzabua vibao alafu nenda kokote kule sawa mimi sio wa hivo kabisa broooooo mimi nakuzaba makofi , kilicho kuleta uku nini , Mimi nakuzabua kokorochi"


VIDEO:





Below Post Ad

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.