Waziri Simbachawene Afanya Mazungumzo na Watendaji wa Kuu wa NIDA Dar

 


 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kulia), akizungumza na Watendaji Wakuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuhusu masuala mbalimbali ya utendaji kazi. Kikao hicho kilifanyika ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam, leo. Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, Dk. Anorld Kihaule. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (katikati), akizungumza na Watendaji Wakuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuhusu masuala mbalimbali ya utendaji kazi. Kikao hicho kilifanyika ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam, leo. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, Dk. Anorld Kihaule. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.




Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (katikati), akizungumza na Watendaji Wakuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuhusu masuala mbalimbali ya utendaji kazi. Kikao hicho kilifanyika ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam, leo. Wapili kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, Dk. Anorld Kihaule. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad