Wimbi la Walimu Kustaafu Kabla ya Wakati, Katibu Tawala Aagiza Uchunguzi

 


Kagera

Katibu Tawala, Prof. Faustine Kamuzora ameagiza Idara ya #Elimu Mkoani humo kuchunguza sababu za wimbi kubwa la Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari kuomba kustaafu kabla ya kufikisha miaka 60 bila kuwa na matatizo yoyote ya kiafya

-

Prof. Kamuzora amesema uamuzi huo unachangia kudhoofisha maendeleo ya taaluma kwasababu unapunguza nguvu kazi.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad