Pili Kitimtim 'Hakuna Mchekeshaji Kama Mimi Bongo, Mimi Ndio Malkia wa Uchekeshaji Tanzania"

 


Komedian matata wa kike Bongo, Gladness Kifaluka ‘Pili Kitimtim’ anasema kuwa kwa wasanii wa kike wa uchekehaji Bongo, yeye ndiye umalkia kamili.


Gladness anasema hakuna komediani wa kike ambaye anaweza kumfikia hata robo kwenye uchekeshaji.


“Mimi ndiye msanii wa kike kwenye uchekeshaji, anayebisha aje tushindane, kwa mambo ninayoyafanya kwa sasa hivi kwenye hii tasnia naweza nikasema mimi ndiye malkia,” anasema Gladness


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad