Tatizo Uongozi wa Yanga, sio Cedric Kaze – Shaffih Dauda aanika madudu yote (+Video)

 


Mchambuzi Mahiri wa mchezo wa soka nchini Shaffih Dauda amemkingia kifua kocha Cedric Kaze kwa kudai kuwa hakustahili kuachishwa kazi ndani ya Klabu ya Yanga na badala yake akidai kuwa Uongozi wa timu hiyo ya Wananchi ndiyo wenyeshida, hayo ameyasema leo kupitia Radio ya Clouds FM.


”Kwa maana ya kupunguza presha kwao, kwa kuwaondoa benchi la ufundi, ili mashabiki waweze kutulia, lakini haiwasafishi ya wao kuwa ndiyo chanzo cha matatizo yanayoendelea kutokea.”

Shaffih Dauda amezungumzua pia ujumbe uliyowahi kupostiwa na Eng. Hersi Said 29 Januari 2021 uliyokuwa ukizungumzia nguzo tatu za mafanikio katika mchezo wa mpira wa miguu kwa ngazi ya klabu ” Proper Management ipi wakati kila kitu wanafanya wao wenyewe, kungekuwa kuna Proper Management wao wangekuwa wana wezesha (facilitate) uongozi wa timu unafanya hizo shukhuli.” Amesema Mchambuzi huyo.

VIDEO:


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad