“Nitoe shukrani kwa uongozi wa Simba na kwa Wanasimba. Naamini wamerudisha tumaini jipya kwa vijana wengi. Tunaenda kutengeneza vitu vingi kama jezi, t shirt, cover la simu, miwani, saa za Simba, kofia, soksi, viatu, mabegi na vitu vingi.”- CEO wa Vunja Bei, Fred.