Kindoki: Shabiki wa kweli hawezi kuhamia, hilo tukio wametengeneza na Haji Manara kuichafua brand ya Yanga



Shabiki kindakindaki wa klabu ya Yanga @jimmykindoki amemjia juu msanii wa Singeli @dullamakabila baada ya kutangaza kuhamia Simba akitokea Yanga.

@jimmykindoki amesema kuwa @dullamakabila tunajua ni shabiki wa Simba wa muda mrefu hapo wametengeneza tukio na @hajismanara ili azungumziwe mitandaoni, tunaomba wasanii wabaki kwenye kazi zao za muziki huku kwenye mpira wauache, mpira hauhitaji kiki kama muziki, hilo tukio @hajismanara amelitengeneza.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad