Mkurugenzi wa kituo cha habari cha EFM na TVE Francis Ciza alimaarufu @majizzo amezungumza kupitia kituo hicho ambapo ameongea vitu mbalimbali.
Kuhusu baadhi ya media kuiga vipindi anavyoanzisha amesema kuwa ““Kama mtu anafuata njia zako, anafanya unayoanzisha wewe, sio mshindani ni mfuasi”