MAREKANI YAAMURU WANADIPLOMASIA WAKE KUONDOKA CHAD - Marekani imewaamuru Wanadiplomasia wake ambao sio muhimu kuondoka Nchini Chad kutokana na hofu ya kutokea mashambulio katika Mji Mkuu wa N’Djamena - Kauli hiyo imetolewa wakati matokeo ya awali ya Uchaguzi yakionesha Rais Idriss Deby anatarajiwa kushinda na kuendeleza Uongozi wake ambao umedumu kwa miaka 30 - Marekani imeamuru Wanadiplomasia hao pamoja na Familia zao kuondoka Chad wakati vikundi vyenye silaha vikionekana kujiimarisha kuingia N'Djamena

Marekani imewaamuru Wanadiplomasia wake ambao sio muhimu kuondoka Nchini Chad kutokana na hofu ya kutokea mashambulio katika Mji Mkuu wa N’Djamena

Kauli hiyo imetolewa wakati matokeo ya awali ya Uchaguzi yakionesha Rais Idriss Deby anatarajiwa kushinda na kuendeleza Uongozi wake ambao umedumu kwa miaka 30

Marekani imeamuru Wanadiplomasia hao pamoja na Familia zao kuondoka Chad wakati vikundi vyenye silaha vikionekana kujiimarisha kuingia N'Djamena

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad