Mburudishaji wa FNL ya EATV Ibiza Boy afariki kwa ajali, 'Ijumaa alikuwa na furaha kuliko kawaida'


David Urassa maarufu kama Ibiza Boy, amefariki dunia Alfajiri ya Aprili 18, 2021, kwa ajali ya gari maeneo ya Kinondoni Dar es salaam. Ibiza Boy alikuwa ni miongoni mwa waburudishaji kupitia kipindi cha #FridayNightLive​ cha EATV

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad