Nyota wa muziki wa Rap Nchini marekani Lil Wayne Aonesha Jeuri ya Pesa, Anunua Nyumba ya Bilioni 34


Nyota wa muziki wa Rap Nchini marekani, Boss wa Young Money @liltunechi amenunua jumba la kifahari lenye thamani ya dola milioni 15.4 (Takribani Bilioni 34 za Kitanzania) katika mji wa Hidden Hills huko Los Angeles.


Weezy, ambaye ameinunua nyumba hiyo chini ya bei yake ya awali ($15.75M) atakuwa na majirani maarufu akiwemo Drake, Kim Kardashian na Kylie Jenner ambao pia wanamiliki Majumba ya kifahari maeneo hayo, Kwa mujibu wa TMZ jumba hilo lina vyumba vya kulala zaidi ya 6, bafu 8, Bar, Gym, sehemu kubwa ya jiko, sebule kubwa pamoja na ofisi


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad