P Funk 'Paula Anatafuta Laana, Mimi Nilishajitoa, Nilishanyoosha Mikono'
0
April 19, 2021
"Nilishawaambia tangu mwaka jana kwamba mimi nilishajitoa, nilishanyoosha mikono kwa Paula! Mtoto anatafuta laana, alishanitamkia kwamba mimi sio Baba yake! Kajala sio familia yangu, nilifanya uamuzi mbaya kuzaa na mtu ambaye sio sahihi kuwa Mama, yanayoendelea kwasasa hayanihusu" -@majani187 kwenye XXL
Tags