Sudan Kusini yaharibu Chanjo 60,000 Corona


Sudan Kusini Salva Kiir alipokea chanjo ya corona wiki iliyopitaImage caption: Sudan Kusini Salva Kiir alipokea chanjo ya corona wiki iliyopita
Sudan Kusini imeharibu chanjo za virusi vya corona aina ya AstraZenica ikisema kuwasili nchini humo zikiwa karibu muda wake unakwisha.

Chanjo hizo zilikuwa zimetolewa kama msaada kutoka kwa kampuni ya Afrika ya mawasiliano MTN na Muungano wa Afrikamwishoni mwa mwezi uliopita.

Hatahivyo, Mkurugenzi wa Taasisi ya Muungano wa Afrika CDC director John Nkegasong anasema walikuwa na muda wa kutosha kutumia chanjo hizo kabla hazijapitwa na wakati.

Sudan Kusini kwa sasa ni nchi ya pili baada ya Malawi kutangaza kuwa inawenda kuharibu chanjo.

Hii inakuja wakati wakati nchi nyingine za Afrika zikahangaika kupata chanjo za kutosha.

Sudan Kusini Salva Kiir alipokea chanjo ya corona wiki iliyopita.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad