Zungu Ataka Kuwepo Kwa Kodi Kwenye Mitandao ya Simu





Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu, amependekeza kuwepo kwa kodi ya Uzalendo itakayokatwa kupitia Mitandao ya Simu kwa kila Mtanzania ili kuwa chanzo kipya cha mapato kwa Serikali.


Zungu amesema kiasi hicho kikikatwa kwa Watanzania Milioni 30 kati ya wote waliopo Nchini huweza kufikisha Shilingi Bilioni 540 kila siku.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad