HomeUdaku SpeshoAfisa TRA Temeke Akamatwa kwa Tuhuma za Rushwa Afisa TRA Temeke Akamatwa kwa Tuhuma za Rushwa 0 Udaku Special May 06, 2021 Humphrey Mhagama amekamatwa kwa tuhuma kuomba Tsh. 500,000 ambapo alipokea Tsh. 250,000. TAKUKURU imesema Mtuhumiwa atafunguliwa Mashtaka kwa kosa la kushawishi, kuomba na kupokea Rushwa. OPEN IN BROWSER Tags Udaku Spesho Newer Older