"Simba ikishinda mechi hii nchi itapata heshima, lakini pia tutakuwa tumeandika rekodi,"
"Wanasimba wanataka kufuzu, hatutaki kujitahidi, Simba sio timu ya kujitahidi, ni timu ya kufuzu. Mashabiki wanaiamini timu yao inaweza."
"Slogan yetu itakuwa AMA ZETU AMA ZAO; Do or die season 2."- Haji
"Kama uongozi tumejiandaa na mchezo wa jumamosi. Tunaamini wachezaji watapokea maelekezo vizuri kutoka kwa walimu na tutashinda,"
"Tunawapa sana heshima Kaizer Chiefs, ni timu nzuri lakini tunao uwezo wa kupindua matokeo."- Haji Manara