Hiyo ni baada ya week chache zilizopita kujifungua, mtot hyo ameanza kupokea deals za matangazo mbali mbali,
Mtoto Huyo ambae baba ake ajulikani ameanza kula shavu za kuwa brand ambassador wa kampuni za bidhaa za watoto,
Wadau kadhaa wa mitandao ya kijamii wamenda mbali na kusema mtoto Huyo anaweza kua ni mtoto wa( ember bortion ) wengine wakidai kazaa na sponsor ,
Jamani tumtakie heri katika kumkuza mtoto hyo anayetabiliwa kunyakua deals nyingi bongo dar es salaam na nje