Chakula Kimelipiwa, Kazi yako ni Kula tu!

 


Huko katika Mji wa Oklahoma nchini Marekani kwenye kuta za migahawa mingi zimepambwa na risiti za vyakula ambavyo tayari vimelipiwa huku nyingine zikiambatanishwa na chenchi kabisa.

Lengo la kufanya hivyo ni kuwasaidia watu wasio na uwezo wa kumudu gharama za chakula, hivyo mtu akifika kwenye moja ya migahawa hiyo anachagua risiti ya chakula kisha analetewa bila malipo.

Unaambiwa risiti hizo huwekwa hapo na wateja ambao hulipa mapema chakula na kuipeleka ukutani, na kuziacha zikiwekwa kwa ofa kwa yeyote ambaye ana njaa.



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad