Jack Wolper Amshauri Wema Sepetu Kuhusu Kupata Mtoto



Baada Ya Post Yenye Maneno Marefu Ambayo Wemasepetu Amemuandikia Rafiki Yake wolperstylish Kwa Ajili Ya Kumpongeza Kwa Kupata Mtoto Wa Kiume WOLPER Ameshuka Kwenye Comment Naye Kushusha Ujumbe Huu Kwa Ajili Ya WEMA.
-
-
WOLPER Ameandika.............''Wema wangu Nilikua ata Naogopa kukwambia ,Maana ulianza nakunambia jacq unaniacha mwenyewe Tulikua tunasemwa wote sasa mbona unaniacha mwenyewe ,Aisee hii kauli iliniliza nikajikaza nasikutaka ujue nimelia ,but nilikuandikia ukurasa mkubwa saana nakukuelezea Achana Na wanadam Deal Na Mungu Tuu kila m2 kapangiwa wakati wake wakupata bby Na kama ujapata Basi Bado wakati wako Trust me ...Nakupenda sana aunt yake p Ninaomba kupitia hili Mungu akakujibu Mapema saana Naamini 🙏 ''

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad