Jeshi la polisi Dar kuimarisha usalama katika mechi ya Simba na Yanga jumamosi





Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limejipanga kuimarisha usalama katika mechi ya Watani wa Jadi Simba dhidi ya Yanga katika Dimba la Benjamin Mkapa. 
Kamanda wa Polisi Lazaro Mambosasa ametoa rai kwa wazazi wanaopenda kwenda na Watoto uwanjani kuwa makini na kutoruhusu Watoto kuzagaa uwanjani na kupelelea kupotea.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad