" Sio kwamba @mkubwafellatmk alikua mnyonyaji , ila sisi tuligombanishwa na Mifumo tu ya Muziki , System ndio ilitugombanisha " - @sir_nature
Juma Nature "Mkubwa Fella Hakuwa Anatuzulumu Bali Mfumo wa Mziki Haukuwa Sawa"
0
May 24, 2021

Tags