Manchester United imetinga hatua ya fainali ya Europa League licha ya kupoteza mbele ya AS Roma katika fainali ya pili kwa ubao kusoma AS Roma 3-2 Manchester United.
Uwanja wa Stadio Olimpico ni Edin Dzeko wa AS Roma dakika ya 57, Bryan Cristante dakika ya 60 na Alex Telles dakika ya 83 alijifunga kwa upande wa Manchester United ni Edinson Cavan alitupia mabao yote dakika ya 39 na 68.
United inatinga fainali kwa ushindi wa jumla ya mabao 5-8 kwa kuwa ile nusu fainali ya kwanza, Uwanja wa Old Trafford United ilishinda mabao 6-2 na inakuwa ni fainali ya kwanza ya Kocha Mkuu Ole Gunnar Solskjaer ndani ya United.
Atakutana na Villarreal inayonolewa na Kocha Mkuu, Unai Emery ambaye alishinda mbele ya Arsenal katika hatua ya nusu fainali ya Kwanza mabao 2-1 na ile ya pili ngoma ikawa droo