MHUDUMU wa chumba cha kuhifadhia maiti ‘Mochwari’ Francis Mtebezi Kutoka Hosptali ya Rufaa ya Mount Meru Mkoani Arusha amezungumza na mwenzetu Korumba Lebabazi Changamoto anazokutana nazo anapotekeleza Majukumu yake alishakaa mochwari siku 14 wakati wa Corona.