Ndugai akerwa na ngonjera za mawaziri Bungeni, jibuni maswali mnayoulizwa

 
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai, amewataka mawaziri hasa katika kipindi cha maswali na majibu kuhakikisha wanajibu maswali wanayoulizwa ipasavyo na si kuzunguka zunguka tu na kufanya ngonjera bungeni.


Kauli hiyo ameitoa Bungeni Dodoma hii leo Mei 24, 2021, na kueleza kuwa kuanzia kesho kila mbunge anayesimama kuuliza swali anatakiwa afanye hivyo na siyo kupoteza muda na vivyo hivyo kwa mawaziri wanatakiwa kunyoosha maelezo wakati wa kujibu maswali hayo.

 
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad