Rapa Maarifa Atuma Ujumbe Kwa BILL Gates Amuozesha Dada Yake Baada ya Ndoa Kuvunjika


Msanii wa Hip Hop Tanzania 🇹🇿 @maarifathebigthinker ameingia kwenye headlines baada ya kuonesha DMs alizomtumia bilionea Bill Gates kwenye ukurasa wake wa instagram


Haya yote yanakuja baada ya bilionea huyu kuripotiwa kuachana na mke wake Melinda Gates na hivyo kutaka kumuozesha dada yake kwa tajiri huyu


@maarifabigthinker Amesisitiza Kuwa Dada yake ni Mzuri sana, Yupo Single lakini pia ameeleza namna walivyo na Kipato cha Chini


Unahisi ni Watu Wangapi ambao wanaisubiri Bahati Kama Hii Katika Mahusiano ?



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad