Viwanja vimeshuka Bei: Bunju/Mapinga



Tunauza viwanja Mapinga mpakani na Bunju, mtaa wa Kimele, km 5 tu kutoka Bunju B.

Vipo Viwanja vikubwa na vidogo.
Vipo Viwanja 20/20 bei million 6, 20/30 mil 9, 20/40 mil 12, 25/40 million 15 na ukitaka vikubwa zaidi ya hapo mfano nusu eka au ekari nzima pia vipo.

Huduma zote za kijamii (maji, umeme, shule, hospitali, barabara) hapa zipo. 
Kwa aliyekwisha jipanga kununua kiwanja , luksa kuja kuona viwanja bure.

Kwa mawasiliano zaidi piga 0758603077 au WhatsApp 0757100236

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad