Yanga waugomea muda ulipangwa na TFF, sisi tutapeleka timu saa 11 na sio saa moja
0Udaku SpecialMay 08, 2021
Baada ya mchezo wa Simba na Yanga kupelekwa mbele klabu ya Yanga imesikitishwa na taarifa hizo na kudai kwamba wao watapeleka timu muda wa mwanzo ambao ni saa 11 na sio saa moja kwani kanuni zinasema taarifa itolewa masaa 24 kabla ya mchezo.