Boko la Mwaka: Unakumbuka Story ya Mwanamke wa South aliyedaiwa Kuzaa Watoto 10? Familia Yakanusha
0Udaku SpecialJune 16, 2021
Boko la Mwaka: Unakumbuka story ya mwanamke wa South aliyedaiwa kuzaa watoto 10? Basi Unaambiwa kumbe ni uongo, hatimaye Familia ya mwanaume yakanusha na kusema hawajawahi kuona hao watoto 10