Dangote "Niko Busy Sana Sina Muda wa Kutafuta Mke"


Fahamu kuwa Tajiri namba moja Afrika, Aliko Dangote yupo Single kwa Mda mrefu sana na hatarajii kuoa Kabisa kwa sababu hana Muda yuko bize na Mambo ya kuendesha Kampuni zake.

Aliwahi kuhojiwa na BBC kuhusu kuoa alisema

"Umri wangu haupungui Miaka zaidi ya sitini haiingii akilini kwenda kutafuta Mke iwapo huna muda huo, Hivi sasa sina Muda kabisa sababu tuna kiwanda cha kusafishia mafuta, tuna kemikali za mafuta, tuna mbolea, tuna bomba la kusafirishia gesi, Nahitaji kutulia kidogo"-Dangote.

Tajiri huyo mpaka sasa ana Watoto Wanne wote wa Kike, aliwahi kufunga Ndoa na Wanawake Wanne kwa nyakati tofauti lakini Wote akaachana nao.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad