"Wasanii wa bongo hatupendani, mwaka fulani kuna mmoja wetu ana lebo inaheshimika hapa Bongo, alienda Oman wakamuuliza kwamba yule msanii aloimba 'Maisha na Muziki' tunampataje? Akawajibu huyo ni teja msihangaike naye, nikajua, niliambiwa na mwenzake waliyetengana juzi juzi...." amesema Darasa.
Je, unadhani msanii mlengwa na aliyemtonya Darasa watakuwa ni nani?