"Kuanzia Disemba mwaka huu wasanii wataanza kulipwa baada ya redio na TV kupiga nyimbo zao" Rais Samia




'Sanaa na utamaduni, sekta hii imekuwa ikikua kwa kasi, miongoni mwa hatua tulizochukua ni kuimarisha usimamizi wa haki miliki za wasanii, nataka kuarifu vijana kwa kuanzia Disemba mwaka huu wasanii wataanza kulipwa mirabaha yao kutokana na kazi zinazotumiwa kwenye runinga, redio na mitandaoni.'' Rais Samia kwenye mkutano wa vijana mkoa wa Mwanza.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad