Gari Jipya la Diamond Lazua Balaa!



KUPITIA ukurasa wa Instagram wa mtoto wa kiume wa Nasib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz na Zarithebosslady, Prince nillan imechapishwa picha inayomuonyesha mtoto huyo akiwa ndani ya Gari la kifahari kisha kuandikwa; “Heading to Masaki for ice cream in #Platnumz🚘”

 

Picha hiyo na maelezo hayo yanaonesha dhahiri kuwa gari hilo ni jipya la Diamond Platnumz na sasa limeingia tayari nchini Tanzania.

 

Juma Lokole na Msanii Baba Levo wameonekana kutofautiana kuhusu bei ya Gari hilo, Lokole akisema gari hilo ni  “Cadillac Escalade Concept One Curve” ya mwaka 2015, kutoka #LexanMotors Gharama yake ni $320,000 ambazo ni sawa na Tshs million 740.

Wakati Baba Levo anadai ameona risiti ya ndinga hiyo ambayo ni $650,000/ ambayo ni sawa na Tsh. Bil 1.5

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad