Hatimaye Bunny Wailer azikwa baada ya miezi mitatu





Nyota wa muziki wa reggae, Bunny Wailer, ambaye alishirikiana na Bob Marley kuunda kundi la The Wailers miaka ya sitini na kusaidia kuusambaza muziki huo kutoka Jamaica hatimae kazikwa ikiwa imetimia miezi mitatu tangu ya kifo chake.
Hii inatokana na mchakato wa kamati ya mazishi nchini Jamaica na familia yake kutofautiana sehemu ya atakapo pumzishwa nyota huyu mkongwe wa reggae.

Kutokana na umaarufu wake na hadhi yake yakimataifa, Serikali ilikua imependekeza Bunny kuzikwa kwenye Bustani ya mashujaa nchini Jamaica ila familia ikakataa ombi hilo na kuamua kumzika kwenye shamba lake la ”Dream Land” leo, Juni 18 nchini humo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad