Baada ya Nyota wa Juventus na Timu ya Taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo @Cristiano kufikisha Wafuasi (Followers) Milioni 300 katika mtandao wa Instagram siku ya jana kwa sasa yeye ndiye Mtu pekee mwenye Followers Wengi zaidi katika mtandao huo
Hii ndiyo Top 10 ya watu wenye wafuasi (Followers) wengi zaidi katika mtandao wa @Instagram
1. @Cristiano : 301M
2. @TheRock : 247M
3. @ArianaGrande : 244M
4. @KylieJenner : 241M
5. @SelenaGomez : 238M
6. @KimKardashian : 229M
7. @LeoMessi : 219M
8. @Beyonce : 186M
9. @JustinBieber : 178M
10. @KendallJenner : 170M
JE, Unadhani wewe upo Namba ngapi