Kupitia ukurasa wake wa Instagram @kajalafrida ameandika na kuutaarifu umma kuhusu ujio wa reality hiyo ambayo itamuhusisha yeye na binti yake @therealpaulahkajala #Mom and Daughter #LikeTwins ✅
Reality Show ambayo itakuwa inaonyesha maisha yao binafsi ingawa bado hajaweka wazi itakuwa inaruka Kupitia Tv gani (Kituo kipi)