Majambazi Wateka Basi na Kuwaibia Abiria



Basi la abiria lenye Namba za Usajili T 116 BHD mali ya kampuni ya Scorpion lililokuwa likitokea mkoani Shinyanga kuelekea Kasulu mkoani Kigoma lilitekwa na majambazi na abiria wakaporwa vitu vyao

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Kamishna Msaidizi wa Polisi James Manyama amesema tukio hilo limetokea katika pori lililopo jirani na Kambi ya Wakimbizi ya Nduta

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad