Mke wa Dulla Makabila afunguka anavyochukiwa na wifi yake, amtaka akubali kumlea mwanamke aliyepewa mimba na mumewe





 “Nimejaribu kuonesha upendo kwa Wifi zangu lakini Dada yake na Dullah anachuki sana na Mimi sielewi nini sababu’’ Bi . Rahima Mke wa Dulla Makabila
''Wifi yangu alinifanyia tukio baya sana siku ya harusi yangu na Dullah ..Mpaka namhisi mchawi alimwita somo yangu na kumwambia somo kuna kazi kubwa pale inatakiwa ufanye kazi sana hiyo ilikuwa ni ukumbini na sijawahi kumfanyia ubaya yani nia anipendi tu'' Rahma Mke wa @dullamakabila

'Nipo tayari kumlea Mwanamke anayedai amepewa ujauzito na Dullah kwa gharama zangu na aje akae kwenye nyumba ninayoishi na Dullah'' Rahma Mke wa @dullamakabila

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad