Juzi zilisambaa Mtandaoni Video ya Mwanamke akisema kuwa Ana ujauzito wa Mwanamuziki wa Singeli dullah makabila , sasa mke wake ambae wamefunga ndoa mwezi uliopita ameibuka na mapya
''Nipo tayari kumlea Mwanamke anayedai amepewa ujauzito na Dullah kwa gharama zangu na aje akae kwenye nyumba ninayoishi na Dullah'' Rahma Mke wa @dullamakabila