Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Albert Chalamila Atenguliwa



Rais Samia ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila leo Juni 11, 2021
_
Nafasi yake inajazwa na Mkuu wa Mkoa wa Mara, Mhandisi Robert Gabriel Luhumbi


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad