Mwimbaji Baraka The Prince Aibuka na Tuhuma Nzito Kwa Mama Dangote na Diamond "Ni Mawakala wa Shetan"

 


Mwimbaji Barakah The Prince  Ameandika haya Kupitia Ukurasa Wake wa Instagram:

 

Aisee Watanzania Ndugu zangu Tuweke pembeni leo Ushabiki Maandazi na tutumie hekima na ubinadamu na busara uyu @mama_dangote mama yake na @diamondplatnumz ni mama wa ajabu sijawahi kuona Duniani Nakuja na story soon kwanini nimeandika hivi ndugu zangu..Hawa @wcb_wasafi ni mawakala wa shetani Trust me Guys kuna siku mtakuja kuniambia na kama Atutokuja kumkemea uyu Supers star mavi @diamondplatnumz na mkaendelea kumbembeleza kama yai la mwisho ndani atakuja kusababisha machafuko makubwa sana katika taifa hili..Rudi shule mdogo wangu @diamondplatnumz maaana shule itakusaidia charlie angu Fv..ck.off...Sattan system....Sorry kwa yeyote ambae hii sindano itamuingia Asubuhi na baridi la dar maana now sio Joto tena wanangu...#Yanachosha💔 sana matendo ya ajabu ajabu..

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad