Mwigulu: Deni la taifa limeongezeka kutoka Tril 55.5 hadi Tril 60.9




“Hadi Aprili 2021, deni la serikali lilikuwa shilingi Tril 60.9, ikilinganishwa na shilingi Tril 55.5 mwaka 2020, ongezeko hilo lilitokana na kupokelewa kwa fedha za mikopo mipya kwa ajili ya kugharamia miradi ya maendeleo”



Akiba ya fedha za kigeni inaridhisha kukidhi mahitaji ya uagizaji wa bidhaa na huduma kutoka nje ya nchi, hadi Aprili 2021 akiba ya fedha za kigeni ilikuwa USD Bil. 4.97 ambayo inatosheleza uagizaji kwa takribani miezi 5.8”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad