“Licha ya mlipuko wa COVID-19 ulioathiri uchumi wa nchi nyingi, TZ ni miongoni mwa nchi chache Duniani zilizokuwa na ukuaji chanya wa uchumi kwa mwaka 2020 pato la Taifa lilikua kwa 4.8% ikilinganishwa na ukuaji wa 7.0% mwaka 2019”
“Kwa mwaka 2020 pato kwa mtu lilikadiriwa kufikia shilingi 2,653,790, sawa na dola za Marekani 1,151.0, ikilinganishwa na shilingi 2,573,324, sawa na dola za Marekani 1,118.9 kwa mwaka 2019, ikiwa ni ongezeko la asilimia 3.1”