Rais Samia Suluhu akutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Botswana Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi Ikulu Jijini Dar es Salaam




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Botswana Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Juni 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Zawadi za Picha Rais wa Jamhuri ya Botswana Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Juni 2021.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akipokea na kuiangalia zawadi ya picha aliyopewa na Rais wa Jamhuri ya Botswana Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Juni 2021. 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad